Philippians 1:12

Kufungwa Kwa Paulo Kwaieneza Injili

12 aBasi, ndugu zangu, nataka mjue kwamba mambo yale yaliyonipata kwa kweli yamesaidia sana kueneza Injili.
Copyright information for SwhNEN